Habari zenu wana jamvi.
Nimefanikiwa kuizunguka nchi yangu mama Tanzania na jambo hili limenishangaza sana. Ni dhahiri kwamba mtandao wa barabara ktk eneo kubwa la chi yetu umeongezeka kwa kiasi kikubwa sana. Nimetembea barabara ya vumbi zaidi ya 410km lakini ktk kipanda chote hicho nilitembea speed kati ya 60km/h -120km/h. Yaani barabara niya vumbi ila ni nzuri zana.
Kigoma nina muda mrefu sana sijafika, ila kama Tabora, Rukwa na Katavi inafunguka hata huko muda wake utafika tuu.
Adhabu niliyoipata miaka kadhaa iliyopita nikisafiri toka Tunduma - Mpanda but leo hii ni historia inanipa imani kuwa is a matter of time Kigoma itafunguka pia