K Koryo2 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 2,056 Reaction score 2,523 Apr 19, 2017 #1 Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana. Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana.
Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana. Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana.
king muller Senior Member Joined Aug 29, 2015 Posts 104 Reaction score 56 Apr 19, 2017 #2 Hata hapa Moshi mkuu nishida tupu suluisho nikuachana nao
WilliK10 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 601 Reaction score 283 Apr 19, 2017 #3 Mm nipo Dar ila hawa jamaa hamna kitu. Kesho naenda kuhama mtandao
L lolo123 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 458 Reaction score 483 Apr 19, 2017 #4 WilliK10 said: Mm nipo Dar ila hawa jamaa hamna kitu. Kesho naenda kuhama mtandao Click to expand... Afu wanatutoza gharama kama za voda....this guys are so retarded
WilliK10 said: Mm nipo Dar ila hawa jamaa hamna kitu. Kesho naenda kuhama mtandao Click to expand... Afu wanatutoza gharama kama za voda....this guys are so retarded
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,268 Reaction score 4,586 Apr 19, 2017 #5 Koryo2 said: Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana. Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana. Click to expand... Which problems?
Koryo2 said: Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana. Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana. Click to expand... Which problems?
WilliK10 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 601 Reaction score 283 Apr 19, 2017 #6 lolo123 said: Afu wanatutoza gharama kama za voda....this guys are so retarded Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
lolo123 said: Afu wanatutoza gharama kama za voda....this guys are so retarded Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Apr 19, 2017 #7 Nafikiria kuhama .....