Jamani eeh,
Nahitaji mawazo nifanye maamuzi.
Sasa hivi nimtumiaji wa Vodacom na Tigo. Nilikuwa mmoja wa wanufaika wa vifurushi vyao vya chuo ila sasa hali ni tete kote. VODA NA TIGO vifurushi vimeshushwa ladha na gharama yake wameipandisha.
Watu wa Marketing tunasema KILLING THE DEMAND (haijaandikwa hivyo kwenye notes)
ILA NINA OPTIONS MBILI TU HAPA ZA KUCHAGUA NIHAMIE KUPI.
KATI YA AIRTEL NA HALOTEL.
IPI KATI YA HIZO INA VIFURUSHI BOMBA ZAIDI KWA BEI POA...NA NAOMBA UJE NA SAMPLE HAPA KWENYE HOJA YAKO.
TTCL SIITAKI KWA SABABU NITAJIKUTA KATIKA CONTACTS ZANGU HAKUNA HATA MMOJA MWENYE TTCL.
NAOMBENI MAONI YENU.