Mtandao umezikwa rasmi leo

Baada ya kuapishwa magufuli leo ni wazi ule mtandao wa wanamtandao walliopanga mikakati ya kumyingiza jk ni wazi sasa unapumulia mashine. Lile kundi la Mkapa limerudi rasmi..

Kumbuka wakati ule mwakyembe amerudi matibabuni,alizunguka mikoani akiwa na Sitta. Six alinukuliwa eti akisema, yeye, mwakyembe na magu walikuwa timu moja ya urais. Sijui taarifa hii kama ilikuwa na ukweli wowote,ila iwahi sikika,ingawa nasikia eti magu alikanusha kuwamo kundini.
 
Naona Mh EL amesahaulika kabisa yaani ktk vichwa vya wa tz level yake kwa sasa ni sawa na midevu Hashim Rungwe maana hata mama Mghwira amepata sana umaarufu, maskini Lowassaa!!!Ila ccm wabayyaaaa!!!
 

Kwa kusoma tu ulichoandika hapa wewe mwenye you are very very Far from a person of integrity.. So you don't even qualify to assess others and judge them.
 

Hiyo ni akili ndogo kutawala akili kubwa, kwani siku zote alikuwa wapi? tokea kijana kawa kwenye siasa na pia kufanya kazi tena kubwa kubwa serikalini, je huo umaskini kaupunguza kiasi gani? Je umaskini kaanza kuuchukia baada ya kuingia chadema? siku zote unapokubali kudanganywa na wakati huo akili yako inafanya kazi vyema-basi huo ni umbumbumbu mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…