Mtandao umezikwa rasmi leo

Uloi nga mâché68;14543325 said:
Wewe hata ukionesha chuki ya Mgombea wako kushindwa haitasaidia lolote. Mchuma umeondoka huo. Huyo mgombea wako ndio basi tena!Tena wewe naweza kukisia kabila na MKOA wako. Shame!

Acha ukabila wewe, Una divert point yangu na kuleta excuse ya ukabila. Nahisi na wewe Ni lili kabila primitive lisilipenda watu WA kaskazini, au kabila la kule pwani ya kusini ambao wananyang'anywa mali zao lakini kura wanampa ccm.
Elimu, elimu, elimu, elimu bora elekezi ndo itatitoa hapa.
Eti mnajivunia barabara kajenga JPM, shame is supposed to be on you who has never been anywhere out of this country to see how the good roads with their infrastructures are constructed.
Kaeni huko msubiri makombo - hata JPM atatupiwa makombo kwa sababu mirija mikubwa haijui na hata akiijua hawezi kufanya lolote kwani ndo walomweka kwenye urais kiwizi.
Lowassa Tu ndo angeweza kuiondoa Tanzania ilipo kwa sababu anachukia umaskini kwa kila mtu Hawa wengine wanapenda kila mtu awe maskini ili aendelee kuwa ombaomba
 
Magufuli hawezi kuendesha serikali bila wana mtandao.
Ndio waliomuweka madarakani, na hawezi kwenda kinyume nao.
 
Acheni kumchafua Rais wetu. Taja ndugu yake 1 tu aliyemuuzia nyumba ya serikali kwa bei ya peremende. Mkiishiwa hoja mlale sio kuongea ngera hapa

Dah! nimecheka sana hilo neno NGERA.
 
Mkuu sijaona like ningekupa nyingi, this guy is empty hajui nini kinaendelea ulimwenguni yaani tumepata rais ambaye exposure yake ni sifuriiiiii anyway sitarajii jambo jipya toka ccm
 
Baada ya kuapishwa magufuli leo ni wazi ule mtandao wa wanamtandao walliopanga mikakati ya kumyingiza jk ni wazi sasa unapumulia mashine. Lile kundi la Mkapa limerudi rasmi..
Mawaziri Waliokuwa Chini Ya JK Wanye Uwezo wa Kufanya Kazi na Magufuli ni hawa tu. Dr Asha Rose Migiro-George Simbachawene-Wiliam Lukuvi- Jenista Mhagama-Aliyekuwa waziri wa Elimu na Mbunge wa Bagamoyo-Dr Husein Mwinyi-na Dr Harison Mwakyembe.
 
du, wenye english zenu (mjuao kiingereza) naona mwaka huu tutawakoma!! Namshauri mh dk magufuri akuteue kuwa balozi wetu uingereza, naona utatufaa sana!
 
mtandao umezikwa? ni wa kampuni gani? ccn walikuwa na mtandao wao, mimi sijawahi kuona laini zao au ni wa wayalesi? watu wanasema mitandao inabadilika tu sijui kweli......

pole utaelewa tu maana ya kuzikwa mtandao
 
Bitterness...it's a pity that you won't get into "the promise land". The bottom line is that JPM is your prezda, if you don't like it there's always another choice...Somalia isn't far from Tanzania.
 
bira woga kurinda katiba nawashukulu kwa changa moto mlonipa hp ni kaz tu
 
Uloi nga mâché68;14543444 said:
Wewe hata ukionesha chuki ya Mgombea wako kushindwa haitasaidia lolote. Mchuma umeondoka huo. Huyo mgombea wako ndio basi tena!Tena wewe naweza kukisia kabila na MKOA wako. Shame!

Huko sawa
 
du, wenye english zenu (mjuao kiingereza) naona mwaka huu tutawakoma!! Namshauri mh dk magufuri akuteue kuwa balozi wetu uingereza, naona utatufaa sana!

Huko sawa
 
Bitterness...it's a pity that you won't get into "the promise land". The bottom line is that JPM is your prezda, if you don't like it there's always another choice...Somalia isn't far from Tanzania.

Kayumba hapa fulu mateso.....haya bwana ila sijakumanya
 
Kayumba hapa fulu mateso.....haya bwana ila sijakumanya
Ha ha.. kayumba tunatesa. Ila uache chuki binafsi na umpe sapoti JPM, bitterness haikusaidii kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…