Si ndio hapo?Endelea na hicho hicho kilichoongeza mtaji kutoka 10ml hadi 20ml. Kama juzi kati tu ulikuwa na 10ml ila leo una 20ml, usiiache hiyo biashara.
Na julai 13 alikuja na Thread anadai ana Million 3 . Leo hii kagonga kama 20mil.Endelea na hicho hicho kilichoongeza mtaji kutoka 10ml hadi 20ml. Kama juzi kati tu ulikuwa na 10ml ila leo una 20ml, usiiache hiyo biashara.
[emoji3][emoji3]haijalishi mkuu ushauri ni muhimu kwa kila mtuNa julai 13 alikuja na Thread anadai ana Million 3 . Leo hii kagonga kama 20mil.
Kwa hesabu za haraka anapiga kama 4mil per month afu anataka ushauri tena...smh.!
Nimeajiriwa mkuu nataka nifungue biashara ili niongeze kipato changu.Endelea na hicho hicho kilichoongeza mtaji kutoka 10ml hadi 20ml. Kama juzi kati tu ulikuwa na 10ml ila leo una 20ml, usiiache hiyo biashara.
Subiri mpaka wakufukuze ili mtaji uzidi kuwa mkubwa.Nimeajiliwa mkuu nataka nifungue biashara ili niongeze kipato changu
Ajira ipi inaongeza hela hivyo kwa kasi mkuuNimeajiliwa mkuu nataka nifungue biashara ili niongeze kipato changu.
Yasije mkuta ya bilionea wa mahindiHutakatishi pesa? 🤣🤣🤣 nakumbuka ulisema una million 10