mbena yero Member Joined Jan 13, 2017 Posts 53 Reaction score 21 Feb 12, 2017 #1 Habari za muda huu ndugu zangu! Naomba kwa mwenye ufahamu na maswala ya biashara, je kwa mtaji wa laki saba naweza kuanzisha biashara gani? Ambayo itakuwa na mzunguko mzuri, Naombeni ushauri wenu wadau nawasilisha.Nipo Iringa mjini.
Habari za muda huu ndugu zangu! Naomba kwa mwenye ufahamu na maswala ya biashara, je kwa mtaji wa laki saba naweza kuanzisha biashara gani? Ambayo itakuwa na mzunguko mzuri, Naombeni ushauri wenu wadau nawasilisha.Nipo Iringa mjini.
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 834 Feb 12, 2017 #2 Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2
sizonjemadawa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 1,052 Reaction score 1,306 Feb 12, 2017 #3 Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Hizo nyanya unazitoa wapi mkuu
Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Hizo nyanya unazitoa wapi mkuu
K kijanaMmoja Member Joined Feb 14, 2016 Posts 35 Reaction score 25 Feb 12, 2017 #4 Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Elezea zaidi mkuu kwa faida ya wengi si unajua watu wengi wanawaza kujiajili siku hizi
Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Elezea zaidi mkuu kwa faida ya wengi si unajua watu wengi wanawaza kujiajili siku hizi
Life.co.tz JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 641 Reaction score 372 Feb 12, 2017 #5 Ni mtaji mzuri kwa Biashara ya Unga
Luv JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 2,740 Reaction score 6,116 Feb 12, 2017 #6 Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Kwa hiyo hapo anapata hizo box 20 na nauli ya kusafirishia inatosha? f
Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Kwa hiyo hapo anapata hizo box 20 na nauli ya kusafirishia inatosha? f
mbena yero Member Joined Jan 13, 2017 Posts 53 Reaction score 21 Feb 12, 2017 Thread starter #7 Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Nashukuru kwa ushauri ndugu.
Chuck j said: Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2 Click to expand... Nashukuru kwa ushauri ndugu.