Habari zenu nauliza kwa wenye kujua kufungua shule ya chekechea yaani (Day care&Nursery) unahitaji mtaji kiasi gani naombeni kwa anayejua na mahitaji yenyewe.
N.B kama huwezi kuongea ushauri bila kebehi, dharau potezea tusiharibiane mood kama Mejja Okonkwo.