Mtaji wa maskini ni

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11,483
Reaction score
31,660
Sipendagi ile kauli ya kwamba watanzania ni maskini kwa kuwa ni wavivu na hatupendi kujituma. Utasemaje kuhusu huyu mama

 
bigi upu sana mama lishe..komaakomaaa hayo ndio maisha
 
Huyu mwanamke mpiganaji sana.

Wengine wanauza mwili wanakuambia eti maisha magumu
 
Huyu anti ni jembe la utajiri kiukweli kabisa na maisha yake naona ni super na huyu si wakupenda kukopa kopa na si wakuwa mwihetaji wa mtu ni kujitegemea tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…