Haah! mbona kama umeona hatari hivyo, usihofu ilikuwa ni kama workshop juu ya maswala ya ujasiria mali sasa ulivyotaja S.W.O.T. nikafikiri ulipitia hizo modules za ILO.
Ila hongera kwa kubobea kwenye maswala ya Uchumi nakushauri ufanye juhudi at least 70% ya uchumi wa taifa wahodhi wazawa.