FURSA FURSA
Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi, Kuku Nk
Majukumu:
1.Kuandaa malisho ya wanyama.
2.Kulisha wanyama.
3.Kukamua maziwa.
4.Usafi wa Banda la wanyama.
Mshahara: 100,000
Kula, matibabu na kulala buree
Vigezo:
1.usiwe na umri wa zaidi ya miaka 23
2.Uwe umeishawahi kutunza mifugo
3.Uwe unajua kukamua ng'ombe wa maziwa.
Piga:0765 049 904