Hili jambo limetuokoa watu wengi wa maeneo mbalimbali sio tu kigamboni.
Kuna siku nilikua nawaza kwanini serikali mtaa za maeneo mbali mbali wasianzishe mradi wa mtaa watu wajichangine vichimbwe visima na kusambaziwa maji
Maana huku maeneo tulipo ni wstu binafsi wamechimba ndo wanatusambazia wananchi wengine kwa malipo ya mwezi. So ni jambo linawezekana mtaa kwa mtaa kws maeneo yenye maji
Serikali za CCM zinachoweza ni warsha, kujengea wastaafu majumba mapya wakati wana mijumba lukuki, kununua magari mapya kila mwaka, safari za nje zisizo na tija, kuteua kutengua, lakini mambo ya maana kama kutatua kero za maji kwa wananchi hawawezi