Master mjehe
Member
- Jan 7, 2014
- 77
- 84
Sifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?Wajamvi polen. Na majukum.
Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu.
Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi uizangatie either uloge sana ,ama upambane sana ama uwe mcha Mungu sana ama ni kipi wadau?
ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.
Tuishi nayo sio5000/=
Kula hiyo mzee itakusapoti leo. Lakini pia mitaa inatakaikuone una hela tu hasahasa ukisoma. Umezipataje hiyo sio kazi yao
Toa zaka kila unachopata, milango itafungukaWajamvi polen. Na majukum.
Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu.
Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi uizangatie either uloge sana ,ama upambane sana ama uwe mcha Mungu sana ama ni kipi wadau?
ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.
Hata ukitumiwa hiyo buku tano, bado utaila itaisha na kesho utahitaji tena.Ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.
Ukitushirikisha hayo maarifa itakuwa jambo jemaSifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?
Una maana Mwenyezi Mungu wako aliyekuumba hakukupa mwingozo wa ma9isha?
AlhamduliLlah, nimezaliwa na kukulia katika Uislam. Uislam umetupa A to Z ya maisha na hatuna haja ya kukisia namna ya kuishi.
Unajidai sana na imani yako.Inabidi nifanye mpango uwe myahudi hata kwa wiki mbili tu.🤔Sifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?
Una maana Mwenyezi Mungu wako aliyekuumba hakukupa mwingozo wa ma9isha?
AlhamduliLlah, nimezaliwa na kukulia katika Uislam. Uislam umetupa A to Z ya maisha na hatuna haja ya kukisia namna ya kuishi.
Soma Qur'an, ndiyo mwongozi wa Maisha:Ukitushirikisha hayo maarifa itakuwa jambo jema
Is a long step-by-step unfolding processMafanikio ni process