Kweli Elimu Tanzania ni jambo la maana sana. Sina maana ya kumaliza form 4 or 6 nina maana baada ya hapo unajitambua au la. Naona hata malengo ya elimu 2025 itakuwa shida maana comments zingine inaonesha kuna watu bado ni watupu sana.Hello,
Hii hali ya wadada kutupiga mizinga ilikuwepo ila kwa sasa naona hii hali imezidi, wanawake free wanapungua kwa kasi ya 4G kama sio 120km/hr. Karibia kila msichana ninaemtongoza (kati ya wasichana 25 ninaowatongoza, 98.9%of them) lazima aniombe zawadi. Nikiwaambia waje nyumbani wachukue hawataki.Sasa dili ni kwenda tu ambiance kununua changudoa maana hakuna namna sasa hivi.
lakini ndo hali halisi ya mtaani...totoz zimeamua kuvua chup** zao coz hamna namna maisha tightKweli Elimu Tanzania ni jambo la maana sana. Sina maana ya kumaliza form 4 or 6 nina maana baada ya hapo unajitambua au la. Naona hata malengo ya elimu 2025 itakuwa shida maana comments zingine inaonesha kuna watu bado ni watupu sana.
lakini ndo hali halisi ya mtaani...totoz zimeamua kuvua chup** zao coz hamna namna maisha tight
Kwanza, hii thread imehusu wanawake.wanaume nao wanafanya nini kama wanawake una maana wanafanya hayo. Acha kuonesha ujinga wewe
Na dada zako wamo!Hello,
Hii hali ya wadada kutupiga mizinga ilikuwepo ila kwa sasa naona hii hali imezidi, wanawake free wanapungua kwa kasi ya 4G kama sio 120km/hr. Karibia kila msichana ninaemtongoza (kati ya wasichana 25 ninaowatongoza, 98.9%of them) lazima aniombe zawadi. Nikiwaambia waje nyumbani wachukue hawataki.Sasa dili ni kwenda tu ambiance kununua changudoa maana hakuna namna sasa hivi.
Narudi kule kule you need be to reasonable kabla ujacomment vitu ambavyo havina mantinki. Ukikimbiza kichaa uchi nawe utaonekane kichaa tu, huwezi waambia watu eti mi sio kichaa nilikuwa namfukuza kichaa kaiba nguo zangu. check what you have commented na ujitafakari upyaKwanza, hii thread imehusu wanawake.
yaan inamaanisha tabia ya asa hv ya kitaani ya wanawake kupiga mizinga. na ndo maana na mimi nikachangia kuhusu wanawake...try uwe objective na sio subjective. Soma thread title kwa makini halafu ndo uanze ku comment
we mbona umechangia kwenye hii thread. Na ndo maana nikasema uwe objective na sio subjectiveNarudi kule kule you need be to reasonable kabla ujacomment vitu ambavyo havina mantinki. Ukikimbiza kichaa uchi nawe utaonekane kichaa tu, huwezi waambia watu eti mi sio kichaa nilikuwa namfukuza kichaa kaiba nguo zangu. check what you have commented na ujitafakari upya
Utajikwaa mtani[emoji125][emoji125]em mimi