erickishengoma
Member
- Mar 25, 2022
- 28
- 34
Usiseme karibu. Kwani wewe ndiye bosi?! sema nitashukuruKama unaweza kuwa na connection yoyote, karibu
0758121634/ 0620676049
Swali zuri sana mkuu.Kwanini usitumie ujuzi wako ukalima kisasa??
Ni ushauri mzuri ila unapaswa kukumbuka kuwa Kilimo kinahitaji mambo zaidi ya ujuzi boss.Kwanini usitumie ujuzi wako ukalima kisasa??
Ni ushauri mzuri ila unapaswa kukumbuka kuwa Kilimo kinahitaji mambo zaidi ya ujuzi boss.
vyuoni wamekaririshwa kuajiriwa,hawawezi kujisimamia wenyeweKwanini usitumie ujuzi wako ukalima kisasa??
Kuandika rahisi nyieee...!!Umeshindwa hata kupata kieneo cha wazi uanzishe bustani ya maua maharusi waje wapige picha kwa kulipia au hata kitalu cha kuotesha mbegu za maua/miti ujiingizie kipato?!
Kama jibu ni NDIYO, unasafari ndefu.
Upo sahihi mkuuNa mtaji pia
Issue siyo kutochangamkiwa,mbona wadau wamejaribu kukuonyesha ili uwashawishi inabidi binafsi ufanye nini,unataaluma nzuri tu ya kuweza kujiajiri mbona Kama unajiogopea,ni kweli wAtu wengi huanzia chini Ila utambue WALIAMUA kuanza chini,sasa Kama nawe walitambua Hilo badala ya kupoteza muda wako mwingi kutafuta kuanzia juu,Shuka chini nenda kaanze.Hivi ni kwanini nyuzi kama hizi za kutafuta connection/ajira Jf huwa hazichangamkiwi, au ndo tuseme hakuna watu wenye fursa humu!!? Ninachokiamini kuna watu wengi wakubwa na waliojahaliwa kuwa na fursa mbali mmbali tuweni na tamaduni ya kuinuana jamani, bila shaka kila mtu alianzia chini.
Nataka unisaidie gharama za kupima udongo mkuuHellow wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, muhitimu wa bachelor degree ya Agronomy kutoka SUA, baada ya masomo yangu nimewahi kufanya kazi kama field officer katka project ya kuhamasisha kilimo bora cha zao la ufuta Morogoro.
Ninao uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali kama kushughulika na pembejeo za kilimo ikiwemo Madawa, mbolea na mbegu lakini pia kupima udongo, kusimamia project za kilimo au mashamba pamoja na kutoa ushauri juu ya kilimo bora cha kitaalam. Zaidi ninao uwezo mkubwa wa kutumia computer.
Kwa sasa natafuta chance ya shughuli yoyote inayohusiana kilimo au yoyote kwenye taaluma yangu, kwa ajili ya kupata uzoefu zaidi, na kuonyesha uwezo wangu katka jamii.
Kama unaweza kuwa na connection yoyote, karibu
0758121634/ 0620676049
Makazi yako wapiHellow wakuu,

Nipo Dar es salaam mkuu
Boss gharama za kupima udongo hazipo straight forward, zinatofautiana kulingana na vitu vikuu vifuatavyo; aina ya upimaji itakayotumika, idadi ya sampuli, idadi ya parameter za kupima pamoja na
Maabara (bora na gharama zaid)
Digital (Kwa kutumia soil testing kits)
Boss maoni na ushauri wako ni muhimu sana, ila inabidi utambue hakuna mafanikio bila kianzio sahihi, elimu yetu ni muhimu sana lakini inahitaji pa kutokea ili ikufikishe kunako.Issue siyo kutochangamkiwa,mbona wadau wamejaribu kukuonyesha ili uwashawishi inabidi binafsi ufanye nini,unataaluma nzuri tu ya kuweza kujiajiri mbona Kama unajiogopea,ni kweli wAtu wengi huanzia chini Ila utambue WALIAMUA kuanza chini,sasa Kama nawe walitambua Hilo badala ya kupoteza muda wako mwingi kutafuta kuanzia juu,Shuka chini nenda kaanze.
Kuna matango pori huwa mnalishana kuhusu elimu,si kweli kwamba elimu haisaidii Ila huwa mnaamini elimu ndio itatue matatizo yako,wakati ni kinyume chake,wewe utatue matatizo yako kupitia hiyo elimu yako,umeelimikaje wakati hujiamini fursa upande wa kilimo bado ni kubwa sana Ila kwa mitazamo yenu hii sijui mtaishia kuajiriwa badala ya kujiajiri.
Elimu inawFanya mnakuwa waoga msioweza kujikana kwa kujaribu,vinginevyo useme elimu ya ujasiriamali hamuielewi mnaiona ni kama somo la kusoma ufaulu.
Well! Neat explanationBoss gharama za kupima udongo hazipo straight forward, zinatofautiana kulingana na vitu vikuu vifuatavyo; aina ya upimaji itakayotumika, idadi ya sampuli, idadi ya parameter za kupima pamoja na
maabara itakayotumika.
(1). Aina ya upimaji;
(2). Idadi ya sample;
Sample zinaweza kuwa nyingi au chache kulingana na zao linalolengwa kulimwa (ya muda mrefu eg. Miti ya matunda, chikichi, korosho n.k au mazao ya msimu mfano maharage na mahind) lakini pia utofauti wa udongo katika sehemu za shamba husika ( variation); shamba lenye variation kubwa sample ztakuwa nyingi tofauti na linalofanana.
(3). Parameters za udongo zinazokusudiwa;
Hizi zinahusisha elements muhimu za virutubisho katika udongo kama vile total N, soluble P, exchangeable K
pamoja na pH n.k ambazo humsaidia mtaalamu kufanya hitimisho na ushauri wa jumla juu ya rutuba ya udongo wako.
(4). Maabara itakayotumika.
Tuna wet chemistry lab mfano SUA Morogoro pamoja na dry chemistry lab mfano Selian Arusha. Gharama za upimaji kwa sample zinatofautiana kwa kila maabara
Mafano kwa SUA kupima N, P, K na pH inacost Tsh. 22,600/= per sample.
NB: Maamuzi sahihi kuhusu; aina gani ya upimaji itumike?, idadi ya sample ngapi zichukuliwe?, parameter gani zipimwe na maabara gani bora? Na ushauri wa jumla juu ya udongo wa shamba lako hutolewa kwa ufasaha na mtaalamu baada ya kulitembelea shamba na kuona halihalisi kulingana na utaalamu na uzoefu wake.
Kwa ushauri zaidi karibu PM au 0758121634.
Mkuu njia uliyo tumia kuji market ni old school, ya zamani!Boss gharama za kupima udongo hazipo straight forward, zinatofautiana kulingana na vitu vikuu vifuatavyo; aina ya upimaji itakayotumika, idadi ya sampuli, idadi ya parameter za kupima pamoja na