NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 346
- 434
Mkuu unauzoefu na madiniHiyo Tanzan
Ndiyo mkuu japo si kivile.Mkuu unauzoefu na madini
Vp mkuuNdiyo mkuu japo si kivile.
Vp mkuu mapank nimeiokota sehemu haya mawe .inaweza yakawa mawe ya thamani mkuu maana sina uzoefuNakuja
SafiVp mkuu
Niuzie id yako nimeipenda"wewe kimbia ila (ntakukamata tu)Msaada kwa mtaalamu wa madini je haya yanaweza yakawa mawe ya thamani ?View attachment 1910283View attachment 1910282View attachment 1910284View attachment 1910285
Vp MkuuNiuzie id yako nimeipenda"wewe kimbia ila (ntakukamata tu)
Napata kigugumiz bado kuamin kama ni jiwe la thamani au changa lamacho tuMkuu umekua tajiri agiza na gari kabisa, tafuta na ramani ya nyumba
Mkuu kuna wataalamu wa hizi mambo balaa na hawaujui mlango wa darasa kabisa..Madini hayapimwi kwa macho pekee yake
Ni kweli kuna watu ni wataalamu wa elimu dunia,ukimsimamisha na mtu aliehitimu anampiga fimboMkuu kuna wataalamu wa hizi mambo balaa na hawaujui mlango wa darasa kabisa..
UlangaMsaada kwa mtaalamu wa madini je haya yanaweza yakawa mawe ya thamani ?View attachment 1910283View attachment 1910282View attachment 1910284View attachment 1910285