Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,135
- 1,000
Kwa yeyote aliemtaalamu wa kiufundi katika laptop ambayo haidisplay kwenye screen yake naomba kusaidiwa:Laptop yangu ni DELL INSPIRON 1545, 2GB RAM, 320HDD. ilinunuliwa 2011 March 11th, Brand new. Specification zake ni kama ifuatavyo:Hii ni DELL INSPIRON 1545 INSTALLED Memory (RAM) 2Gb SYSTEM TYPE: 64-bit Operating System PROCCESOR: Pentium (R) Dual-Core CPU, T4500 @ 2.30GHz HDD: 320Gb OS: WINDOW SEVEN PROFESIONAL INTEL PENTIUM INSIDE.