Mtaalamu wa kutengeneza website

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Nahitaji ambaye anajua/anaweza kutengeneza website ambayo naweza kupload mp3,naweza kupload video bila kutegemea video player ya youtube,nikimaanisha siyo kudownload video kwanza youtube then kwenye site,yaani video player ya kujitegemea na mp3,na kuwe na uwezekano wa kucoment chini ya video au mp3 kwa njia facebook members na members wa website lenyewe.
Naweza kupa sample ya website.
 
onana na huyu Joe Nyandigira atakusaidia kwani yeye ni mtaalamu wa mambo hayo au onana na Young Master watakusaidia hawa
 
Last edited by a moderator:

Najua unachokitaka.
Angalia kazi yangu inayofanana kabisa na yako unayoitaka
kwenye tovuti ya K i l a D A Y

K i l a D A Y ni kama Youtube ya kibongo vile kwa ajili ya wabongo.
ingia W W W . K i l a D A Y . C O M uone Library/Maktaba ya video zote za kibongo, video za muziki, filamu, vituko, tamthilia, siasa, michezo, makala, sanaa nakadhalika ikijumuisha naa audio, picha na habari pia.
Mpigie simu Programa Kwaga (0652275300) au Programa Makonda (0712049363) uzungumze nao kwa kina.

 
Kutengeneza website ya kampuni ya ushauri elekezi inagharimu bei mkuu na hosting?
 
Kwa ufanisi wa kazi yako na kwa gharama nafuu kabisa nakushauri uwaone hawa jamaa, kwa hakika wako vizuri!
 

Attachments

  • 1406982605216.jpg
    60.1 KB · Views: 131
Kama uko interested kuna watu wako vizuri sana...sasa wako kwenye promotion wana design a good website for only 500,000= kazi kwako
 
Kwa ufanisi wa kazi yako na kwa gharama nafuu kabisa nakushauri uwaone hawa jamaa, kwa hakika wako vizuri!
si kama hiyo,hiyo sijaipenda
 
hii inanivutia,but hiyo player inajitegemea bila youtube?
 
hii inanivutia,but hiyo player inajitegemea bila youtube?

Yes ni player inayojitegemea kabisa na ina play video hata za Youtube bila kutumia youtube player. Unaweza pia kui customize unavyopenda iwe. 0652275300 nipo hewani kwa ajili yako.
 


naweza kukutengenezea hiyo website kwa 300,000/= tu
ina include
one year hosting
domain name

NB: website yako kama unategemea itakua na viewers wengi sana wanao stream videos itabidi ku upgrade hosting serveces kwa ajili ya streaming videos.

Call: 0758 717754
 
km bado hujapata nione tufanye hiyo kazi mkuu
 

http://www.mastz.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…