Jamaa mmoja alienda kumkopa rafiki yake na mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo
MKOPAJI: Oya mwana naomba unikopeshe elfu kumi (10,000)
MKOPWAJI: Dah! Sina mwana, nina elfu tano (5,000) tu
MKOPAJI: Aaah! Basi nipe hiyo hiyo elfu tano halafu nitakudai elfu tano.