Mtaalamu wa Kuanzisha FM radio Statio antafutwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalamu wa Kuanzisha FM radio Statio antafutwa!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, Aug 1, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wale wajuzi wa masula ya kuanzish radio station
  Mjomba wangu anataka kuanzisha radio katika moja ya mji nchini tanzania9not dar) fedha alizopanga ni ---- milion.

  sasa mtaalamu anahitajika
  atatakiwa kueleza yanayohitajika na masuala yote ya propsals nk

  atatakiwa kuwasilish mapangilo hadi kupatikna kwa radio huku akieleza mud ahadi kuwa hewani

  mengine tuwasilane kupitia hapa

  qq.com@hotmail.co.uk
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Usilete utani piga hii 0758349481
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45  Kampuni yetu inaitwa: In A Box Innovations kutoka Australia hapa East Africa mimi ni Agent. Hizi ndo shughuli tunzofanya. Inshu ndogo sana hii mkuu.
  Mfano tunaweza kusuplly vifaa vyote vya radio kwa $17,000/= ikiwa ni pamoja na Transmitter yenye uwezo wa kusikika 45Km za maraba. Studio mbili n.k Kazi ni wako my mail nipm.
   
Loading...