mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Jan 14, 2021 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosomeka anaitajika mtu mwenye uwezo wa kuandaa michoro ya picha. Sifa uwe na PC pia uwe na speed ya kuandaa michoro isiyopungua mitatu kwa siku Kama unajiona unaweza basi tuwasiliane kwa namba 0783598512
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka anaitajika mtu mwenye uwezo wa kuandaa michoro ya picha. Sifa uwe na PC pia uwe na speed ya kuandaa michoro isiyopungua mitatu kwa siku Kama unajiona unaweza basi tuwasiliane kwa namba 0783598512
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,152 Reaction score 6,601 Jan 14, 2021 #2 3D katika nyanja zipi?
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Jan 14, 2021 Thread starter #3 Kudesign michoro ya jiko
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,152 Reaction score 6,601 Jan 14, 2021 #4 mumak said: Kudesign michoro ya jiko Click to expand... Unamaanisha Wataalamu wa Interior Design.
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Jan 14, 2021 Thread starter #5 isajorsergio said: Unamaanisha Wataalamu wa Interior Design. Click to expand... Ndio mkuu ila ijikite ktk kuandaa design za kabati za jikoni
isajorsergio said: Unamaanisha Wataalamu wa Interior Design. Click to expand... Ndio mkuu ila ijikite ktk kuandaa design za kabati za jikoni
J Jiml Member Joined Jan 4, 2021 Posts 47 Reaction score 57 Jan 15, 2021 #6 Na kama mtu yupo mbali anaweza kufanya kazi hiyo?
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 7,871 Reaction score 18,423 Jan 15, 2021 #7 Jiml said: Na kama mtu yupo mbali anaweza kufanya kazi hiyo?? Click to expand... Wabongo bana.. Ushaanza kuwa PESIMISM Fursa imetangazwa ikimbilie PUNGUZA MASWALI MKUU. PIGA SIMU. #YNWA
Jiml said: Na kama mtu yupo mbali anaweza kufanya kazi hiyo?? Click to expand... Wabongo bana.. Ushaanza kuwa PESIMISM Fursa imetangazwa ikimbilie PUNGUZA MASWALI MKUU. PIGA SIMU. #YNWA
J Jiml Member Joined Jan 4, 2021 Posts 47 Reaction score 57 Jan 15, 2021 #8 Mm naweza nmekupigia simu hupatikani
J Jiml Member Joined Jan 4, 2021 Posts 47 Reaction score 57 Jan 15, 2021 #9 Liverpool VPN said: Wabongo bana.. Ushaanza kuwa PESIMISM Fursa imetangazwa ikimbilie PUNGUZA MASWALI MKUU. PIGA SIMU. #YNWA Click to expand... Hapatikani kwenye simu mkuu
Liverpool VPN said: Wabongo bana.. Ushaanza kuwa PESIMISM Fursa imetangazwa ikimbilie PUNGUZA MASWALI MKUU. PIGA SIMU. #YNWA Click to expand... Hapatikani kwenye simu mkuu
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Jan 15, 2021 Thread starter #10 Jiml said: Hapatikani kwenye simu mkuu Click to expand... Ulipiga usiku nilishalala