Mtaalamu wa jiko la chips

*mtaalam* unamaanisha fundi wabkutengeneza majiko ya kukaangia chips ama mpishi (mkaanga) chips??
 
Sikiaa fanya Hivi tafuta siku Nenda mitaa ya nananga kwa eddo pale Jaribu kuongea na vijana....pale lazima utawaibuaaa tu mmoja au wawili...
Nenda pia amerikan CHIPS kino Pale kwA d'Otto
Kuna vijana Jaribu kuongea nao tengeneza nao deal Kama wataona Kuna maslahi watakuja kwako..

OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…