Mtaalam wangu wa Kipemba ambaye huwa hakosei ametoka kunipa taarifa rasmi na Mechi ya Simba na Yanga tarehe 16, February 2019

B
Yaani Mkuu GENTAMYCINE mimi naamini uliyosema,na nilishasema tangu awali kwamba sitaendelea kupinga posts zako (hasa baada ya mimi kuzichunguza posts zako na nyingi zimetembea 'mule mule' kwa usahihi wa 99%).

Ila cha ajabu kuna watu hawaamini kile ulichoandika hapo juu,yaani wale 'wanaovunga' wamezaliwa Melbourne, Australia au wametoka sayari nyingine na hivyo hayo 'mambo ya Kiafrika' wao hawawezi kuyaamini.Ila mimi niliyezaliwa pale Bugorora,Ukerewe kwa akina "Bugonoka" (soma kitabu cha Prof.Kezirahabi kuhusu ushirikina wa Ukerewe) nakuelewa sana.

Hebu niwakumbushe wasomaji wako;kabla Simba SC haijarudiana na Nkana FC pale U/Taifa uliupenyezea Uongozi wa Simba ushauri uliopewa na 'Mzee' huyo wa Kipemba.Sehemu ya ushauri ule uliubandika hapa JF,na kila mtu aliuona.Mimi nilichunguza Siku ya mechi kuona kama uliyoandika yalikuwa sahihi,na NILISTAAJABU kuona kuwa yalitokea vile vile kama ulivyosema.Mfano;

1.Ulisema kiungo Jonas Mkude kwa mujibu wa astronomy, ndiye angeibeba Simba siku ile,na kwamba asikatae kubeba 'power bank' atakayopewa...kusema kweli NILISTAAJABU kuona kijana Jonas Mkude akifunga goli kali, la shuti la mbali lililoirudisha Simba SC mchezoni baada ya goli la striker Kampamba wa Nkana F. C.Kumbuka beki Erasto Nyoni alikuwa amejaribu kupiga missile moja kali kutoka mbali sana ila ikaishia kugonga post ya juu,na kukosa.Baada ya Mkude kufunga Simba ikaamka (kama ulivyosema).

2.Uliandika kuwa;ili Simba SC ishinde ilikuwa ni lazima ikubali kupata 'msiba',yaani kuna shabiki au kiongozi wa Simba afe...Je,ilitokea?NDIYO.Ile Mkude ananyoosha mguu kupiga lile kombora lake,kuna shabiki alianguka na kufa on the spot.Yaani mtu anaanguka na kupoteza maisha na goli linazama kambani.(Ulisema kwa ushahihi mkubwa wa 100%).

SITASHANGAA KUONA ULIYOSEMA HAPA YANAJITOKEZA KESHO.
Baada ya mechi mtatamani kufuta mlichoandika
 
UCHAWI UPO NA TUNAISHI NAO NDUGU ZANGU!
 
Back
Top Bottom