Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Warekebishe mtaala bwanaUnataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?
Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
Je, aliyetoka kidato cha 6 na akaenda Diploma na baadaye Digrii yeye huwa uelewa wake ukoje darasani kulinganisha na kidato cha 6 bila Diploma wanapokutana chuo kikuu?Elimu inayoeleweka duniani ni katika mpangilio huu : kutoka primary kwenda secondary kwenda high school au advanced na kwenda chuo kikuu.
Mfumo wa kupitia astashahada( certificate) au stashahada( diploma) ni mfumo ulioandaliwa kwa ajili ya wale walioshindwa kuendana na mfumo wa kawaida na aghalabu wanakuwa wamefeli.
Kutokea kidato Cha sita au high school ni mfumo unatambulika dunia nzima kumuanda mwanafunzi kwa masomo ya chuo kikuu. Mwanafunzi aliyetoka advance na kwenda chuo anakuwa competent sana na mwenye uwezo na uelewa mkubwa sana darasani kutokana na kwamba masomo ya advance yanamuandaa mtu kukabiliana na mfumo wa masomo ya Elimu ya juu.
Tujadiliane.
Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?
Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6 ndiyo huo huo mtaala wa Stashahada ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 yuko sawa na mwenye Stashahada ya Utabibu kwamba wote hao wawili wasome miaka na mtaala unaofanana wa Shahada ya Udaktari chuo kikuu?
Wabunge mlione hili kwa jicho la 3.
US and Canadian medical schools graduate their students at a 96+% rate, which is much higher than that of the six year systems. One of the reasons for this is the extra filter that undergraduate degrees offer. Most of the schools want graduates because of this and the fact that such students are more mature and skilled at learning the vast amounts (in a very short time) of information that comes with medical school.
Mkuu hujanishawishi.Unataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?
Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
Mkuu unamaanisha mwenye digrii ya Political Science au Kiswahili anaweza kudahiliwa kusoma digrii ya Udaktari Marekani?Tena Tanzania una bahati miaka 5, nchini Amerika utahitajika kuwa na digrii ya mwanzo kabla ya kusoma digrii ya kwanza ya udaktari.
Naamini nchini Marekani wanafanya ulazima huo ili anayesomea udaktari awe ameivaa hasa kimasomo kabla hajajiunga kusoma udaktari ili mwisho wa siku akihitimu hatima ya maisha ya mgonjwa iwe ktk mikono salama ya daktari alihitimu vizuri.
Uelewa wa aliyetoka kidato Cha 6 huwa ni mkubwa snaJe, aliyetoka kidato cha 6 na akaenda Diploma na baadaye Digrii yeye huwa uelewa wake ukoje darasani kulinganisha na kidato cha 6 bila Diploma wanapokutana chuo kikuu?
Bro yani umeenda OP kabisa... kozi nyingi za engineering zinakua miaka 4 kusoma kama umepitia advance, kama ulipita diploma basi unatosoma miaka 3. Na hio ya advance sio dunia nzima... Kenya tu hapo ukimaliza form 4 unaenda college. Nchi kama marekani wana high-school ambapo ndio unapata high-school-diploma. Na kwa uzoefu wangu, waajili wengi wanaoajili freshers wanakwambia waliopitia diploma wanakuaga na ujuzi zaidi katika kazi kuliko wale walitokea A-level, kwa upande wa engineering.Elimu inayoeleweka duniani ni katika mpangilio huu : kutoka primary kwenda secondary kwenda high school au advanced na kwenda chuo kikuu.
Mfumo wa kupitia astashahada( certificate) au stashahada( diploma) ni mfumo ulioandaliwa kwa ajili ya wale walioshindwa kuendana na mfumo wa kawaida na aghalabu wanakuwa wamefeli.
Kutokea kidato Cha sita au high school ni mfumo unatambulika dunia nzima kumuanda mwanafunzi kwa masomo ya chuo kikuu. Mwanafunzi aliyetoka advance na kwenda chuo anakuwa competent sana na mwenye uwezo na uelewa mkubwa sana darasani kutokana na kwamba masomo ya advance yanamuandaa mtu kukabiliana na mfumo wa masomo ya Elimu ya juu.
India ambayo ni world role model wa medical tourism (matajiri wa US wanajitibia India) daktari bingwa ana umri wa miaka 21 minimum.Tena Tanzania una bahati miaka 5, nchini Amerika utahitajika kuwa na digrii ya mwanzo kabla ya kusoma digrii ya kwanza ya udaktari.
Naamini nchini Marekani wanafanya ulazima huo ili anayesomea udaktari awe ameivaa hasa kimasomo kabla hajajiunga kusoma udaktari ili mwisho wa siku akihitimu hatima ya maisha ya mgonjwa iwe ktk mikono salama ya daktari alihitimu vizuri.
Kutoka primary>secondary,,>high school>advanced>University huo ni mfumo wa Tanzania tu sio mfumo wa duniaElimu inayoeleweka duniani ni katika mpangilio huu : kutoka primary kwenda secondary kwenda high school au advanced na kwenda chuo kikuu.
Mfumo wa kupitia astashahada( certificate) au stashahada( diploma) ni mfumo ulioandaliwa kwa ajili ya wale walioshindwa kuendana na mfumo wa kawaida na aghalabu wanakuwa wamefeli.
Kutokea kidato Cha sita au high school ni mfumo unatambulika dunia nzima kumuanda mwanafunzi kwa masomo ya chuo kikuu. Mwanafunzi aliyetoka advance na kwenda chuo anakuwa competent sana na mwenye uwezo na uelewa mkubwa sana darasani kutokana na kwamba masomo ya advance yanamuandaa mtu kukabiliana na mfumo wa masomo ya Elimu ya juu.
Ndio nilichomwambia... hata jiran zetu kenya tu hawatumii huu mfumoKutoka primary>secondary,,>high school>advanced>University huo ni mfumo wa Tanzania tu sio mfumo wa dunia
Mkuu.Bro yani umeenda OP kabisa... kozi nyingi za engineering zinakua miaka 4 kusoma kama umepitia advance, kama ulipita diploma basi unatosoma miaka 3. Na hio ya advance sio dunia nzima... Kenya tu hapo ukimaliza form 4 unaenda college. Nchi kama marekani wana high-school ambapo ndio unapata high-school-diploma. Na kwa uzoefu wangu, waajili wengi wanaoajili freshers wanakwambia waliopitia diploma wanakuaga na ujuzi zaidi katika kazi kuliko wale walitokea A-level, kwa upande wa engineering.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafikiri mfumo wa diploma umewekwa kwa waliofeliNdio nilichomwambia... hata jiran zetu kenya tu hawatumii huu mfumo
Sent using Jamii Forums mobile app
fani zote malalamiko ni hayo hayo. haiingii akilini pia mwenye Diploma ya Education na uzoefu hata wa miaka miwili anakalishwa darasani muda sawa na fresh kutoka A level....Unataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?
Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
Alafu eti mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada ya Utabibu! Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa? Baghosha Tz!Kutoka primary>secondary,,>high school>advanced>University huo ni mfumo wa Tanzania tu sio mfumo wa dunia
Alafu eti mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada ya Utabibu! Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa? Baghosha Tz!Anafikiri mfumo wa diploma umewekwa kwa waliofeli
India kuwa daktari bingwa unaanzia umri wa miaka 21 minimum.fani zote malalamiko ni hayo hayo. haiingii akilini pia mwenye Diploma ya Education na uzoefu hata wa miaka miwili anakalishwa darasani muda sawa na fresh kutoka A level....
UmeishafeliTujadiliane.
Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?
Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6 ndiyo huo huo mtaala wa Stashahada ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 yuko sawa na mwenye Stashahada ya Utabibu kwamba wote hao wawili wasome miaka na mtaala unaofanana wa Shahada ya Udaktari chuo kikuu?
Aidha, kwanini mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada? Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa?
Wabunge mlione hili kwa jicho la 3.