HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
Kampuni ya udalali ijulikanayo kama MSUYA AUCTION MART acheni kutapeli watu na bidhaa zenu mbovu mmefanya utapeli wiki iliyopita Namba mnzotoa kwa wateja wenu nazo feki listi mnasumbua kutoa sasa ninasema utaratibu unafanyika ili mfikishwe mahakamani ifike Mahali TRA muangazie hizi kampuni za udalali wawe na machine za TFD kwajili ya risti .
TIN:105-824-475
Sent using Jamii Forums mobile app
TIN:105-824-475
Sent using Jamii Forums mobile app