OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 114
- 172
Utakuwa na tatzo la melenocytesisy. Ina madhala kwa badae, nipm nikusaidieDoctor mimi mbona sijawahi kuzaa ninao huo mstari unaishia kitovuni tena umekolea tangu najitambua kabla hata sijabalehe.. una maana gani
Hata kama nmezaliwa nao?Utakuwa na tatzo la melenocytesisy. Ina madhala kwa badae, nipm nikusaidie
Madhara gani mbona me ninao toka binti na sijawahi hata kupata mtoto?Utakuwa na tatzo la melenocytesisy. Ina madhala kwa badae, nipm nikusaidie
Mtoto atakuja tu wala usihofu maana Mungu ndiye Muumbaji pekeeMadhara gani mbona me ninao toka binti na sijawahi hata kupata mtoto?
Mimi pia niko nao na sina mtotoMadhara gani mbona me ninao toka binti na sijawahi hata kupata mtoto?
Kuwepo kwa mstari wa ujauzito mara nyingi inaonekana kama shida ya mapambo tu (cosmetic problem) lakini kiuhalisia hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwa sababu haina madhara. Mstari huo unaweza kuonekana kutokana na kuongezeka kwa kiwango cha melanin kwenye seli za ngozi, katika hali nyingine, wale ambao wana mstari huo lakini bado hawajapata ujauzito, ugonjwa wa PCOS na ugonjwa wa Addison ndio huwa sababu inayoweze kupelekea kuwepo kwa mstari huo. Daktari wako atakueleza zaidi sababu tofautitofauti ikiwa hauna matatizo hayo hapo juu.Hata kama nmezaliwa nao?
Usijali ni hali isiyo na maudhi, lakini pia sababu zingine ambazo linea nigra inaweza kuonekana kwenye tumbo lako bila kuwa mjamzito ni pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango (birth control), ukosefu wa adrenal (Adrenal Insufficiency or failure) , kuvurugika kwa vichocheo mwilini (Hormonal Imbalance), pia huweza kutokea ikiwa wewe ni mwembamba sana au unafanya kazi nyingi zinazoshughulisha tumbo.Madhara gani mbona me ninao toka binti na sijawahi hata kupata mtoto?
Linea nigra kawaida hupotea ndani ya miezi michache baada ya kujifungua. Kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja, mstari utaendelea kufifia. Unaweza ukawa huupendi kutokana na njia ambayo mstari unakufanya uonekane ukivaa mavazi ya urembo wa kitovu, au ukiwa ufukweni. Japo wengine hutumia mafuta ya cream kuuwondoa hali ambayo siyo nzuri kiafya, Lakini ni bora kuruhusu ufifia wenyewe. Na ikishindikana kutoweka unaweza kuiacha tu na ikawa ni moja ya nembo ya heshima kama kumbukumbu ya kujiunga na klabu ya wazazi.Dr mimi nina umekolea haswa na nina watoto 3!
Ndio Linea nigra inaweza kujitokeza kwa baadhi ya wanaume wanaofanya kazi nyingi zinazoshughulisha tumbo (kama vile kwa baadhi ya wanaofanya mazoezi ya kuongeza six pack), pia wakati mwingine inaweza ikatokea kwa wazee zaidi ya miaka 50 ambao wameathirika na maradhi ya tezi dume.Hata wavulana hua wanao, ila wakikua na kuwa wanaume huwa unapotea nadhani
Kwa uelewa wangu mdogo huo ni moja ya misuli.Doctor mimi mbona sijawahi kuzaa ninao huo mstari unaishia kitovuni tena umekolea tangu najitambua kabla hata sijabalehe.. una maana gani
Kwa uelewa wangu mdogo huo ni moja ya misuli.
Mwanamke awapo mjamzito huwa mweusi zaidi kutokana na kwamba mtoto alieko tumboni anavozidi kukua anakua kama anaupush kuelekea nje ambapo huonekana zaidi. Ndomama mimba ikiwa ndogo hauonekani sana tofauti na ikikua. Pia anapojifungua weusi hupungua
Cc Smart911
[