Gwaje JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 299 Reaction score 86 Dec 3, 2013 #1 katika kijiji cha msowero kilosa wakulima wefunga barabara kwa kuweka maiti ya ndugu yao mkulima aliyeuwawa na wafugaji jamii ya wamaasai
katika kijiji cha msowero kilosa wakulima wefunga barabara kwa kuweka maiti ya ndugu yao mkulima aliyeuwawa na wafugaji jamii ya wamaasai
M Mjesuits Member Joined Jul 9, 2013 Posts 13 Reaction score 2 Dec 3, 2013 #2 Duh! Sasa hii ni balaa kila sehemu humu nchini kimenuka. Eee!!Mwenyezi Mungu okoa nchi yetu Tanzania. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Duh! Sasa hii ni balaa kila sehemu humu nchini kimenuka. Eee!!Mwenyezi Mungu okoa nchi yetu Tanzania. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Gwaje JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 299 Reaction score 86 Dec 3, 2013 Thread starter #3 mabomu ya machoz toka kwa polisi