Msongamano wa magari Dubai.

Hii itakuwa sheikh zayed road sijui ni maonyesho ya hizi lambajino au ni vipi.
 
Wewe jamaa unachekesha......eti Dubai wana magari wakubwa mazuri.

Sasa wewe umeshindwa kutambua hapo kwenye picha ni super cars? Tena mengine hapo ni hyper cars kabisa. Hayo ndiyo magari ya bei expensive mengine hapo hadi usd 2m
Kukariri ni kubaya sana.
 
Makini mkuu mbona hakuna msongamano wapo kwenye mtirrki mzuri na kizur zaidi magar yote hapo unform tofauti na bongo utakuta rolly au likontena
 
Makini mkuu mbona hakuna msongamano wapo kwenye mtirrki mzuri na kizur zaidi magar yote hapo unform tofauti na bongo utakuta rolly au likontena
Hahahaaaa inaonekana misongamano ya bongo imeshalemaza watu.
 
Mazee hizo gari ni kama kwa zile racing roads si za kwa public roads.
Kwa bongo Rani manundu masshimo full matuta asume bongo yote barabara zingekua kama za mwendo kas haka hizo gar zngepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…