Msoma habari ITV leo

Mi nampenda sana Jacquiline Silemu.Anajitahidi sana.kusoma taarifa ni kazi jamani.
 
Wakati mwingine ni bahati mbaya maana kazi zingine kosa kidogo linaonekana ni tatizo tofauti kazi zetu wengine hata ukikosea bado linaweza kurekebishika bila kuleta athari kubwa kwa watu wengine mapema kabisa
 
ila anajitahidi kiasi chake lakini inavyoonesha hiyo sauti yake kuna MTU anaemcopy .
 
Amekosea kama mara 3 hivi sijui alikuwa amepanic na nini?
Anaogopa makamera au alikuwa anakonyezwa na muongozaji behind the camera au ana matatizo na mumewe/buzi lake
 
Mi nampenda sana huyu Jacqueline, sio napenda kumwona kwenye TV! Aaaah! Mi nampenda tu si unajua neema za mwenyezi Mungu sheikh!
 
Mi nampenda sana huyu Jacqueline, sio napenda kumwona kwenye TV! Aaaah! Mi nampenda tu si unajua neema za mwenyezi Mungu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…