Walikuwa wanamshabikia obama na kuibadilisha hiyo station kuwa ni ya kuwachukia watu wasiompenda obama .Sasa well USA Ina watu 300 million watu 10,000 demo ndio wanaangalia per day sasa sponsor wanaenda Fox News na cnn.kwa hiyo boss wao kaamua msnbc kuwa wameamua kuacha kushabikia Chama cha obama kuwa more republican au in the middle .liberal agenda dont sell