ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,881
- 60,912
Sina dada nilikuwa na mama wadogo wazuri mno bahati mbaya kwako/bahati nzuri wote wameshaolewaTupe dadaako
Sasa ukiajiri beki tatu SI ndio ushamuoa tayariKama shida ni kufuliwa na kuoshewa vyombo, kwanini usiajiri tu beki tatu ?? ..
Acha kukariri wewe me nishamaliza masomo chuo tangu 2018Hivi shule hazijafunguliwa tu?
Ushamuoa kivipi ?? ..Sasa ukiajiri beki tatu SI ndio ushamuoa tayari
Huwa tunawaita mademu zetu waje watufulie,kupika na mengineyoNashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa.mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli mtu mzima Kama wewe unakundula kudeki na kuosha masufuria...acheni zenu hizo ebu oeni huko Tena oeni wale watumishi wa serikali kabisa wawape challenge nyie si mnajifanya ma great thinker huku hamtaki kuja kula million Mia za mafao siku mkeo akistafu.
Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa.mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli mtu mzima Kama wewe unakundula kudeki na kuosha masufuria...acheni zenu hizo ebu oeni huko Tena oeni wale watumishi wa serikali kabisa wawape challenge nyie si mnajifanya ma great thinker huku hamtaki kuja kula million Mia za mafao siku mkeo akistafu.
Haha ka kijana kamemaliza chuo 2018 kanaanzisha thread za kuoa na kuonaAcha kukariri wewe me nishamaliza masomo chuo tangu 2018
Gharama hio yote ya Nini SI Bora uoe wa kutoka kijijini mzuri bint afanye kazi wewe Ni kumpendezesha tu kwa Mwezi mahitaji yake binafsi hayafiki hata 50000Kuoa ni zaidi ya kufuliwa na kupikiwa, ikiwa unaoa kwa sababu hio basi utaoa sana. Kama kufua peleka nguo kwa dobi, ita mfanya usafi kwako aje afue na kuosha akimaliza apite na 100 kwenye kona.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo huyo beki tatu unamaanisha anakuja na kuondoka jioni...ila kuwapata siku hizi Ni ngumu sanaUshamuoa kivipi ?? ..
Sasa mkuu Kama Nina miaka 27 SI mtu mzima mwenzenu Ina maana hatuwezi kupiga hizi stori za ma relationshipHaha ka kijana kamemaliza chuo 2018 kanaanzisha thread za kuoa na kuona
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Mkuu, there's a huge difference between a wife and a house maid .. labda kama tafsiri yako ya mke ni kukufulia na kukuoshea vyombo ..Kwa hiyo huyo beki tatu unamaanisha anakuja na kuondoka jioni...ila kuwapata siku hizi Ni ngumu sana
Ni kipi kinachopatikana ndani ya ndoa pekee..!?Kuoa ni zaidi ya kudeki na kufuliwa nguo..
Kazi zipo kila siku na zinachoshahuwa tunawaita mademu zetu waje watufulie,kupika na mengineyo