Msimamo wa Julius Mtatiro Segerea

Msimamo wa Julius Mtatiro Segerea

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
3,864
Reaction score
4,847
MATOKEO YALIYOTANGAZWA SEGEREA (UBUNGE)
Bonnah Kaluwa (CCM), kura 94,640 sawa na asilimia 41.7,
Mtatiro Julius (CUF), kura 75,744 sawa na asilimia 33.4,
Anatropia Theonest, (CHADEMA) kura 48,623 sawa na asilimia 21.4.
Nawajulisha kuwa HATUKUSAINI FOMU YA MATOKEO KWA MAELEKEZO ya wanasheria wa vyama vyetu (sababu watazitoa baadaye).
Msimamo wangu wa kutokata rufaa uko palepale japokuwa kama nikielekezwa na taasisi zetu nitafanya hivyo kwani hili ni suala la wananchi na si langu binafsi.

Kuna mambo kadhaa wanasheria wameyabaini, tutawajulisha hatua zingine baadaye lakini nataka kuwahakikishia tena kwamba niko imara sana.
Ukiangalia takwimu hizo unagundua kuwa mimi na mgombea wa Chadema tumepata zaidi ya asilimia 58 dhidi ya 42 za mgombea wa CCM, lakini pia kwa kura mimi na mgombea wa Chadema tumemzidi huyu mshindi kwa kura takribani 30,000.
Tumegawanya kura zetu wenyewe lakini wanasheria wanasema kuna hatua za kuchukua.
Tutazidi kuwajulisha.
Mtatiro J,
Segerea
 
This is now a gud move....i hope the lawyers shall make it happen accordingly.
 
imetokea na ingewezekana ingetokea tena kwa kua watu hawakuchagua chama waliangalia mtu, inawezekana hao wangempigia wa ccm baadala ya Cuf kubali tu jipange kwa uchaguzi ujao
 
Kama kuna sehemu unaona umeonewa komaa nao, lakin pia hii iwe fundisho kwa UKAWA mnaposema mnaungana mkubaliane. Sasa angalia mmepoteza jimbo
 
Mtatiro you cannot eat it and have it.Kuwa strait CCM imeshinda.aliyepata kura nyingi NDIYE mshindi

Back
Top Bottom