Msikwazike

Mkuu Tupo Njiani Kuelekea Makazini Sasa Na Wewe Unatunyegenyisha Tena Je Huku Si Ni Kutakana Ubaya? Siendi Tena Kazini Narudi Kitaa Kuliendeleza Na Shemeji Yako.

Nipitie kona tuzimue
 
haaa....!! dunia haiishi matukio
Ndo nini sasa nae hyu????????
 
Kwa unene huo hiyo ngua ni sawa kabisa kupasuka maeneo hayo.
 
Amma kweli macho hayana pazia na hiyo fesheni nimeipenda tena iko tulivu na wala haina kiherere ni kusuza matamanio tu ni safi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…