Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,092
- 1,077
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?
Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
Mabasi ya Mtei yanabeba majambazi kutoka Arusha kuja Dar Es Salaam kufanya ujambazi.
Wabeba "unga" kila siku wanasafiri kwa ndege za mashirika mbalimbali.
Tunaelewa kwamba mtu akipenda, chongo huita kengeza lakini wakati mwingine kabla hujatuletea thread yako hapa jamvini ukae chini ufikirie kwanza na uweke mapenzi pembeni.

Nasema tena Kinana ni jangili la meno ya tembo, amekwenda mahakamani ili kuficha uovu wake. Lakini lazima atambue yeye muda wake umeshapita, atawaachia nini wajukuu zake? zaidi ya hizo fedha alizoficha Uswiss
mnatafuta mawazo humu. nendeni na wazo kwamba kampuni yako ikitumika kutenda kosa mkurugenzi hakwepi kibano. katika sheria za tot kwa mfano, ukisambaza waraka wa mtikila wenye defamation, wewe uliyesambaza waraka huo una udhabu, hata kama ni wa mtikila. huyu kawezesha kosa kufanyika. anayo kesi ya kujibu. ondokeni na wazo hilo.
Sheria za torts sio kama unavyopotosha watu humu, 'liability without fault' haipo kama ulivyo ifafanua kwa kutumia huo mfano wako na kesi ya Kinana.
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?
Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
Sheria za torts sio kama unavyopotosha watu humu, 'liability without fault' haipo kama ulivyo ifafanua kwa kutumia huo mfano wako na kesi ya Kinana.
Nimeamini nyinyi akili zenu ubongo mlionao ni kama wa kuku hivi muuza unga anayebeba mzigo kwenye basi na ukiwa kwenye kabegi kuna mtu yeyoye anayekagua kwa utaratibu wa kawaida wa usafiri wa mabasi? swala la usafirishaji wa Pembe za ndovu usafirishwa kwenye Makontena ambayo ukaguliwa na kuwekewa seal na alama ya kilichomo humo sasa katika process zote hizo kampuni haiwezi kujua kwamba mzigo huo ni pembe hadi China ndo wakamate?Mabasi ya Mtei yanabeba majambazi kutoka Arusha kuja Dar Es Salaam kufanya ujambazi.
Wabeba "unga" kila siku wanasafiri kwa ndege za mashirika mbalimbali.
Tunaelewa kwamba mtu akipenda, chongo huita kengeza lakini wakati mwingine kabla hujatuletea thread yako hapa jamvini ukae chini ufikirie kwanza na uweke mapenzi pembeni.
Kinachonisikisha mimi ni kwamba inawezekana baada ya miaka 7 tukawa hatuna ndovu kabisa kutokana na ujangili. Out of that, Msigwa is free from defamation case because he made a fair comment for the good faith and for the public interest only!
Kama kuna logic na evedence ya kutosha jibu ni ndiyo.
Sasa kama ni Wanyambara wa kweli nendeni mkasimame kidete Bungeni semeni Mbowe ni muuza unga muone litakavyo chachamalia mpaka mnywe.
Hii Topic ya kuuza unga CCM hawaitaki kabisa Bungeni ilisha wahi kwenda hapo watu walitafutana na viti kuota mbigili.