N Newtongift Member Joined Feb 21, 2014 Posts 93 Reaction score 5 May 9, 2015 #1 Anatafutwa msichana wa kufanya kazi stationery kuanzia darasa la saba hadi form4 mshahara maelewano. Sifa awe mwaminifu na ajitambue kuwa yeye ni mwaminifu awe na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii eneo la kazi maswa lalago. Kwa mawasiliano 0766378695
Anatafutwa msichana wa kufanya kazi stationery kuanzia darasa la saba hadi form4 mshahara maelewano. Sifa awe mwaminifu na ajitambue kuwa yeye ni mwaminifu awe na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii eneo la kazi maswa lalago. Kwa mawasiliano 0766378695