Msichana wa stationery anahitajika Kinondoni

Msichana wa stationery anahitajika Kinondoni

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Anahitajika msichana wa kazi ya stationery haraka.

Awe na ujuzi wa

1. Computer application, that is; word 2007, Excel 2007 and Publisher

2. Photocopy Machine application. Photocopying and scanning

3. Internet & E-mail

4. Card design

5. Lamination

6. Photo na passport size printing

7. Adobe photoshop application

8. Awe anajua kiingereza cha kuandika kwa ufasaha.

9. Mpole na mchangamfu kwa wateja
Mshahara maelewano kulingana na uzoefu na uchapakazi.

Awe anaishi maeneo ya Kinondoni maeneo ya mkwajuni, manyanya, studio au biafra Dar es Salaam ili asisumbuke na usafiri!

Ni PM kwa kupata mawasilino na makubaliano.

Awe tayari kufanya kazi kwa siku 6 na j2 ni off day.
 
Kuna mdada yuko Tanga anafanyia stationary, ni mzoefu nikuunganishe nae kama mtaelewana anahamia dsm hana neno maana ni mtafutaji.
 
Mdada ambaye anajua photoshop sioni umuhimu wa yeye kuja kufanya kazi kwenye stationery wakati kuna kazi nyingi za photo ambazo zinaweza kumtajirisha. Hiyo condition ntakushauri ifute
 
Mdada ambaye anajua photoshop sioni umuhimu wa yeye kuja kufanya kazi kwenye stationery wakati kuna kazi nyingi za photo ambazo zinaweza kumtajirisha. Hiyo condition ntakushauri ifute
Kaka hiyo ni moja tu ya condition, na pia siku hizi kazi ngumu kupata kujua sio tatizo. Kuna mainjinia kibao tu wana degree wanafanya kazi za cashier kwenye mabenki mbona hushangai?
 
Kaka hiyo ni moja tu ya condition, na pia siku hizi kazi ngumu kupata kujua sio tatizo. Kuna mainjinia kibao tu wana degree wanafanya kazi za cashier kwenye mabenki mbona hushangai?

Huyo mwenye engineering degree afu anakaa cashier bank hajisomi
 
Kuna mdada anapatikana ubungo, akutafute?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom