Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 322
Unayo maduka mangapi unayoyauza?Habari zenu wakubwa
Anahitajika binti aliyemaliza form four wa kuuza duka mkoani
Awe anatokea Singida,babati au morogoro awe mcha Mungu malazi ataishi kwa mwajiri.
Unayeweza nitafutia huyu binti nipm
Yapo mengi kila mkoaUnayo maduka mangapi unayoyauza?
Niuzie maduka mawili basi...Yapo mengi kila mkoa
Watu mna visaNiuzie maduka mawili basi...
Yupo dukan kwetu acha na na yeyeMwambie Inna nafasi hiyo ama hana Chura?
Yupo dukan kwetu acha na na yeye
sema unatafuta mke kijanja!nyie wanyiramba mna tabu sanaHabari zenu wakubwa
Anahitajika binti aliyemaliza form four wa kuuza duka mkoani
Awe anatokea Singida,babati au morogoro awe mcha Mungu malazi ataishi kwa mwajiri.
Unayeweza nitafutia huyu binti nipm
Mbitiyaza ulingikulu b'eb'e hiyo nafasi waachie akina Demissmamy nipo hapa
hahaha !thats ma yesterday feelings! pambana tu kivyako mwayaMbitiyaza ulingikulu b'eb'e hiyo nafasi waachie akina Demiss