O Oliva wa yanga Member Joined May 28, 2017 Posts 11 Reaction score 0 Oct 14, 2017 #1 Habar kwa anae hitaji msichana wa kaz anapatikana kutoka iringa mshahara kuanzia elfu 40 kwa anae hitaji anichek
Habar kwa anae hitaji msichana wa kaz anapatikana kutoka iringa mshahara kuanzia elfu 40 kwa anae hitaji anichek
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Oct 14, 2017 #2 Ivi unajua sheria za Iringa sasa hivi kuhusu wanawake Wa kazi? Na isitoshe umeweka na namba ya simu. Utakaa Cello siyo mda.
Ivi unajua sheria za Iringa sasa hivi kuhusu wanawake Wa kazi? Na isitoshe umeweka na namba ya simu. Utakaa Cello siyo mda.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,333 Reaction score 170,317 Oct 14, 2017 #3 Mabinti wa Iringa huwa wapo vizuri
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,496 Oct 14, 2017 #4 Iringa, beki 3 supplier
mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Oct 15, 2017 #5 Oliva wa yanga said: Habar kwa anae hitaji msichana wa kaz anapatikana kutoka iringa mshahara kuanzia elfu 40 kwa anae hitaji anichek Click to expand... Iringa upo sehemu gani
Oliva wa yanga said: Habar kwa anae hitaji msichana wa kaz anapatikana kutoka iringa mshahara kuanzia elfu 40 kwa anae hitaji anichek Click to expand... Iringa upo sehemu gani
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,832 Reaction score 20,350 Oct 16, 2017 #6 Oliva wa yanga said: Habar kwa anae hitaji msichana wa kaz anapatikana kutoka iringa mshahara kuanzia elfu 40 kwa anae hitaji anichek Click to expand... yupo wap?? me nahitaji nipo dar
Oliva wa yanga said: Habar kwa anae hitaji msichana wa kaz anapatikana kutoka iringa mshahara kuanzia elfu 40 kwa anae hitaji anichek Click to expand... yupo wap?? me nahitaji nipo dar