Msichana anatafuta kazi yoyote ile

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,005
Ni binti wa miaka 20 ana elimu form 4 kila hakufanya vizuri, anatafuta kazi ya namna yoyote ile halali, yuko Mwanza, iwe kazi ya ndani, garderner, etc yuko tayari kusafiri kokote itakapopatikana kazi

Pls mwenye uhitaji karibu, nipo kwa niaba yake hapa.
 
Mkuu;
Usimpangie mji au mganga alimwambia kuwa nyota yake ipo kwa wasukuma tu?? Kama yupo tiyari hata Moshi tutamchukua na nauli alipiwe.
 
Ungeweka ufaulu wake tungejua tunamsaidia vipi lakini kusema tu hakufanya vizuri nadhani haitoshi cha msingi weka matokeo yake
Example
Civ-D
Hist-C
Bios-C
Kisw-C
Math-F
Géo-D
Eng-C na kadhalika
Hapo itasaidia kujua anasaidiwaje
 
Ungeweka ufaulu wake tungejua tunamsaidia vipi lakini kusema tu hakufanya vizuri nadhani haitoshi cha msingi weka matokeo yake
Example
Civ-D
Hist-C
Bios-C
Kisw-C
Math-F
Géo-D
Eng-C na kadhalika
Hapo itasaidia kujua anasaidiwaje
mkuu ukishambiwa hajafanya vizuri maana yake ana leaving certificate
 
Back
Top Bottom