J julius caesar Member Joined Mar 20, 2015 Posts 94 Reaction score 27 Jul 21, 2015 #1 Habari ndugu zangu wa jf,Nina mdogo wangu wa kike anaelimu ya pharmacy ngazi ya cheti,ningempenda msaada wenu ili aweze kupata Kazi katika hospitali au duka la madawa,anapatikana Daressalaam!
Habari ndugu zangu wa jf,Nina mdogo wangu wa kike anaelimu ya pharmacy ngazi ya cheti,ningempenda msaada wenu ili aweze kupata Kazi katika hospitali au duka la madawa,anapatikana Daressalaam!