Msichana anatafuta Kazi ya pharmacy!

Msichana anatafuta Kazi ya pharmacy!

julius caesar

Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
94
Reaction score
27
Habari ndugu zangu wa jf,Nina mdogo wangu wa kike anaelimu ya pharmacy ngazi ya cheti,ningempenda msaada wenu ili aweze kupata Kazi katika hospitali au duka la madawa,anapatikana Daressalaam!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom