Msichana anapokwambia

Michezo ya Amber ndio imekuwa substitute, duh
 
Michezo ya Amber ndio imekuwa substitute, duh
We acha tu dada zetu sasa hivi huwaambii kitu
Mi mwenyewe nlishangaa kuna mmoja humu jamvini ilkua haiishi siku bila kuwaponda ila sasa hivi ndio amekua mpiga debe wao ni mwendo wa kusifia mwanzo mwisho baada ya kufatilia sana ndio nikapigia mstari kua kumbe siku hizi starehe yao imebadilika.
 
Ngoja waje
 
Hili soko la vibamia limekuwa kutwa
Inamaanisha limekuwa kubwa kwa kuwa limependwa kwenye mitaro?
Ebu fafanua ukubwa wa soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…