<br /><br />
<br /><br />
ameimaliza kazi yake dunian. Tufanye kazi kwa bidii lakini Tukumbuke ibada na kwamba kama kufa ni lazima, na kuokoka ni lazima. Hakuna jina lingine tulilopewa kuokolewa kwalo, ila ni jina la YESU. Mungu awajaze roho wake mfariji katika kipindi hiki kigumu wanafamilia wote, amen