"Mshumaa" ya Alikiba imenifanya nishawishike kumtext ex wangu ambae nimemkazia mwaka mzima

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,310
1,629
Huu wimbo mpya wa Alikiba jinsi anavyopita kwenye beat ya moco na lyrics zake, inakua kama kaniimbia mimi, mpaka nimeshawishika kumtafuta ex girl wangu ambae alibipu kuniacha kwakua anajua siwezi kumuacha baada ya kufanya hivyo mara kadhaa, sasa mimi nikafanya kweli nikampiga chini (kitu ambacho nadhani hakuamini maana alishajiaminisha sina uwezo huo)

Nimekua nikipotezea text zake kwakua simtak tena, lakini hilo goma la Ali K naona linanishawishi nimtafute, nimeona niifute tuu na nyimbo yenyewe maana nimeona inanishawishi nimtafute mtu nisiyemtaka.

Huyu jamaa akiamua kuimba anaimba sana.
 
Ila huo wimbo kautendea haki. Japo ningekuwa director wake wa music studio, mwisho pale kuna vitu ningevishaur ili wimbo ufike dakk 3.5 kwakuwa ni wimbo wa kurusha pia achilia mbali ujumbe.

Kuna sehem karibu mwisho pale, beat ilipo pause skeletons then ikaanza tena, badala ya kufanya autro, ningemshauri arudie tena chorus
 
Mawazo yako kama yangu tu

Back
Top Bottom