Mshukuru sana mikutano ya siasa ilivyopigwa marufuku maana idadi ya kupotea ingekuwa kubwa sana

Nipo Vietnam ya Tanzania ambayo ndiyo inayolengwa hapa. Mtanyooka tu!

Tutanyooka kwa wizi wa kura? Mwaka wa nne huu anafanya siasa mwenyewe lakini kwenye uchaguzi lazima afanye ukatili na uhayawani ili chama chake kushinda. Saa hii watu wanalazimishwa kwenda kupiga kura, kama watu wananyooka ilibidi wawe wanamsujudia, lakini wanaomsujudia ni wale aliowapa vyeo na wanaotegemea madaraka yake kutoboa.
 
Nimecheka sana kwamba sasa Hakuna ufisadi??, nimeamini kuwa maccm ni 0 IQ

Ni kichekesho cha karne, unapambana na ufisadi kisha kinara wa kupambana na ufisadi anapata madaraka kwa wizi wa kura na kuhujumu uchaguzi! Kweli kuwa mtu mweusi ni burudani nyingine ndani ya hii dunia. Sasa hivi hakuna mapambano ya ufisadi, bali mapambano ya matumizi ya neno fisadi.
 
Hao wajinga hawajui tafsiri ya neno ufisadi,
Kufanya hujuma kwenye uchaguzi ili ishinde ni ufisadi pia
 
Mpambana na ufisadi hataki kukaguliwa na CAG.
 
Wewe kilaza na wao wangeanza kupotea..si tunakunywa nao bia huku uswazi
 

Nakuheshimu sitaki nikujibu vibaya hivyo bora ninyamaze tu Mkuu.
 
Nakuheshimu sitaki nikujibu vibaya hivyo bora ninyamaze tu Mkuu.

Ni jibu tu maana kwangu kujibiwa vibaya ni kama chakula chenye pilipili ambapo kwangu ni burudani, na hizo lugha mbaya nazimudu hivyo usipate shida kwani majibu yake pia ninayo. Pamoja na hayo haimaanishi pia sikuheshimu, ila ukileta lugha yoyote ya kibazazi basi majibu yatakuwa ya kibaazazi vile vile
 
Ukweli mchungu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…