Mshukuru sana mikutano ya siasa ilivyopigwa marufuku maana idadi ya kupotea ingekuwa kubwa sana

Ni jibu tu maana kwangu kujibiwa vibaya ni kama chakula chenye pilipili ambapo kwangu ni burudani, na hizo lugha mbaya nazimudu hivyo usipate shida kwani majibu yake pia ninayo. Pamoja na hayo haimaanishi pia sikuheshimu, ila ukileta lugha yoyote ya kibazazi basi majibu yatakuwa ya kibaazazi vile vile

Kwahiyo uko tayari kwa Vita nami? Nasubiri jibu langu upesi sana ili nikuandalie Makombora yangu ' HATARI ' ya ICBM Mkuu.
 
Tanzania ya sasa siyo ya Kudekezana na Kubembeleza hovyo na Wapumbavu na Wazembe bali ni ile ya Kazi Kazi tu na ' Result Oriented ' pekee. Kama mnataka Kuchekewa Kuchekewa subirini akija ' Mnafiki ' wenu mwingine mnayemtaka ila kwa huyu ' Shujaa ' wetu wa sasa ni mwendo wa ' Kunyoosha ' na ' Kutumbua ' tu na nina uhakika hadi akimaliza muda wake Watanzania wengi Akili zetu zitaamka na kutukaa vyema kwani tulizoeshwa vibaya na Watu ambao tulikuwa tukidhani wanatupenda lakini kumbe ndiyo hao hao walikuwa ' wakituibia ' Tanzania yetu hii, Ufisadi Kuongezeka huku hadi Wanafamilia wao wakila Keki ya Taifa hili na Kujitajirisha. Kama kuna Kitu ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ni kumfanya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa nchi. Namuombea kwa Mungu Maisha marefu, Afya bora, Ulinzi na Uhai wake mrefu.

Unafiki Kwangu ni Mwiko.
Sustainability iko wapi kwa haya mazuri yanayofanywa?Bila kujenga mfumo imara,kauli za jukwaani na utumbuaji wa jukwaani utakwenda na mwenyewe akiondoka baada ya miaka kumi yake.
Kama Taifa tunahitaji mfumo ambao hata akiingia chizi nchi inakwenda.
Uthubutu mkubwa wa JPM ungeungana na uwazi na mfumo mzuri tungekwenda mbele sana.
 
Kwahiyo uko tayari kwa Vita nami? Nasubiri jibu langu upesi sana ili nikuandalie Makombora yangu ' HATARI ' ya ICBM Mkuu.

Kama umechoka hoja nakuruhusu mwaga hayo makombora maana niko vizuri kwa kila idara, kuanzia hoja mpaka hayo makombora, na uzuri humu hamna mbeleko ya vyombo vya dola vinavyowabeba zaidi ya ban. Tena nakuruhusu kwa chochote, iwe hoja au hayo makombora niko sawa. Kwa maneno marahisi siogopi chochote toka kwako kuanzia hivyo vita sijui makombora mpaka hoja.
 
Sawa anza Kujiandaa sasa Kisaikolojia na Kusali pia Sala yako ya Toba kwani ndiyo unakaribia Kuondoka hivyo Mkuu.
 
Sawa anza Kujiandaa sasa Kisaikolojia na Kusali pia Sala yako ya Toba kwani ndiyo unakaribia Kuondoka hivyo Mkuu.

Yaani hapa nilipo nimecheka vibaya sana, nimejua unahack ip address yangu kumbe ni yale yale mambo tulikuwa tunatishiana utotoni, kwamba niguse uone maana baba yangu ni mwanajeshi. Mkuu nikuambie kitu, naona huna jipya zaidi ya kunoa kisu kwenye godoro.
 
Sustainability iko wapi kwa haya mazuri yanayofanywa?Bila kujenga mfumo imara,kauli za jukwaani na utumbuaji wa jukwaani utakwenda na mwenyewe akiondoka baada ya miaka kumi yake.
Kama Taifa tunahitaji mfumo ambao hata akiingia chizi nchi inakwenda.
Uthubutu mkubwa wa JPM ungeungana na uwazi na mfumo mzuri tungekwenda mbele sana.
:p:p
 
Imeandikwa shukuru kwa kila jambo!

Maono yangu yananiambia ni afadhali Mara mia mikutano ya siasa ilivyopigwa marufuku huko Vietnam maana wangepotea wengi zaidi na kimbunga cha kisulisuli!:D:D:D

Ukimtizama anavyoongea kwa machungu jamaa, utagundua huyu siyo mwanasiasa, sidhani kama angekubali kusemwa hadharani!
Kirefu cha Kisulisuli

*KISULISULI*

K=Kanisa
I=Inaweza
S=Saidia
U=Upate
LI=Limwanaume
S=Saizi
U=Utakayo
LI=Likuoe

*Kwa kiNyakyusa*

MWEE, Stellagambi Mwakapenda, eti ni kweli?
 
Back
Top Bottom