Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 798
- 843
Wakuu hope mko poa
Nishawahi kuwa mamber wa chaputa kwa miaka kadhaaa.
Huwa ikitokea nikakaa vibaya yaani kwenye kiti kama Kuna kitu kingine labda nguo au kitu chochote,,nikikikalia icho kitu mshipa wa korodani ya kushoto imaumaga afu baada ya muda inaponyaga yenyewe.
Au nikivaa boxer inayobana yaani mshipa wa korodani unaumaga hatari nikibadilisha nguo napona tu Fresh.
Sasa juzi nilikalia nguo ambayo ilikuwa kwenye kiti yaani nimeumwa na mshipa wa korodani hatari, kutembea natembea fresh, nikibinya korodani haijavimba na yenyewe haiumi, kinachouma ni mshipa nadhani unaotoka kwenye epididymis.
Hadi sahivi inauma hatari,,je ni nitumie tiba gani.
N.b hii Hali unitokea kama Mara 3 kwa mwaka sio ya marakwamara