Mshipa wa korodani unauma hatari

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Wakuu hope mko poa

Nishawahi kuwa mamber wa chaputa kwa miaka kadhaaa.

Huwa ikitokea nikakaa vibaya yaani kwenye kiti kama Kuna kitu kingine labda nguo au kitu chochote,,nikikikalia icho kitu mshipa wa korodani ya kushoto imaumaga afu baada ya muda inaponyaga yenyewe.

Au nikivaa boxer inayobana yaani mshipa wa korodani unaumaga hatari nikibadilisha nguo napona tu Fresh.

Sasa juzi nilikalia nguo ambayo ilikuwa kwenye kiti yaani nimeumwa na mshipa wa korodani hatari, kutembea natembea fresh, nikibinya korodani haijavimba na yenyewe haiumi, kinachouma ni mshipa nadhani unaotoka kwenye epididymis.

Hadi sahivi inauma hatari,,je ni nitumie tiba gani.

N.b hii Hali unitokea kama Mara 3 kwa mwaka sio ya marakwamara
 
Kwahiyo na nyinyi madaktari mko busy na kesi ya Mbowe
 
mwakibete

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
3,042
2,000
Salam. Acha kupiga punyeto. Fanya mazoezi na kula sana matunda.
Hiyo ni ishara tu, unakokwenda ni shida zaidi mkuu.
 
Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Una umri gan Joomba?

Homa ?

Sasa mwanangu hiyo hali ina muda gan yan lini imekuanza kwa Mara ya kwanza?

Maumiv huanza ghafla au Taratibu? Na unapokua kwa hiyo hali, unapata maumiv pia ya tumbo ? Kuhisi kichefu na kutapika ?.

Pumbu ziko kama zimevutwa kupanda juu??

Huo upande wa pumbu wenye maumiv ,ngozi ina rangi gan? Nakwenye ngozi hiyo ya Pumbu juu kuna kama kauvimbe ( kanundu kana Rangi ya blue)??? ........

Kujisikia kukojoa Mara kwa Mara ? Maumiv kwa kukojoa?uchafu wowote kutoka?.

Unaweza kua na moja kati ya haya

1--LEFT INTERMITTENT TESTICULAR TORSION.

au

2- TESTICULAR APPENDAGE TORSION
( Hii haina madhara kiivo kama ni Yenyewe, ILA TATIZO INAPELEKEAGA KUFICHA HIYO SHIDA NAMBA MOJA, YAAN DAKTARI ANAWEZA HISI NI HII YA 2?? KUMBE NI HIYO YA 1.??.

sasa kama ni hiyo... Jiandae

Kende yenyewe kudhoofu nakupata maambukizi ambapo hatima yake nikuondolewa kende
Kupoteza uwezo wakuzaa
kua inajitokeza Mara kwa mara
N.k n.k

Kama ni ya 2..... Penda kupumzika, kunywa vituliza maumiv kama Panado , Ibuprofen pia unaweza jikanda kwa Barafu, kulala miguu umeinua juu ...

Kama ni ya kwanza, Hii huhitaji Tiba ya upasuaji ili KUOKOA HILO KENDE ... na kwa harakaharaka, unaweza meza vituliza maumivu, ukiendelea na harakati za kufika Hosp .KWA UFUPI, NA USHAURI WANGU, NENDA HOSPITAL HARAKA, UMUONE DAKTARI.Hapa Dunian hata uwe na mamilion ya Pesa, Kama Hutombi?? Na kama Unatomba ila HUZALISHI ....

Mamaeeee bora Ungekua mwanamke ,WAHUNI wakupumulie.!.ona serious kabisa NENDA HOSPITAL HARAKA.
28yrs,homa Sina, kichefuchefu Sina, kutapika sitapiki, kende zote zinalingana hakuna iliyo vimba, rangi ya ngozi ipo sawaaa, tatizo nililiskia 2020, yaan ninapo vaa tight clothes, au kukalia kitu kischo stable, kupga game napiga.

Afu nitatizo linalotokea Mara chache saana

Puli nilipiga vya kutosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom