MSHAHARA waingizwa Mara mbili...

Inakuwaje huo mfumo wa kompyuta ulenge taasisi moja ya serikali?.
 
Ni kweli mi mtumishi wa serikali Leo tarehe 4 mshahara bado
 
SERIKALI DHAIFU IMEANZISHA MIFUMO MIPYA YA MALIPO ALAFU WAMESHINDWA KUISIMAMIA NA KUIENDESHA,KILA SIKU SYSTEM MBOVU,INAZINGUA.MPAKA SASA MISHAHARA HAIJAINGIA NI MSOTO MKALI..kwanini wanaanzisha system kabla ya kuzifanyia pretest??au ndo ujanja ujanja wa wajanja wachache kukwiba.maana nchi hii hakuna linaloanzishwa bilawatu kunufaika..,ni kama EFD za TRA jinsi zinavyokachachuliwa,watu hawalipi kodi bora manual system ya zamani
 
Mambo hayo yapo Tanzania pekee, wakati wengine hawajalipwa mshahara mpaka leo wengine wamelipwa mara mbili, lol!
 
mm kuna malimbikizo nilikuwa nadai wizarani, sasa nilidhan ndo nimelipwa, ha kumbe k2 ni double double
 
wajiandae kula ugali kwa picha ya samaki mwisho wa mwezi
 
Nenda bar kaponde zote,chukua totos mbili ukijivinjari,mwezi ujao mshahara usipoingia urudi humu JF ulalamike.Tena usisahau kumlaumu Rais.wako wengi watakao kusupport kwenye malalamiko yako.
Unamwambia nani? Mimi si mhusika.Mimi tu kuwaletea habari...
 
Watanyang'anywa kwani standing order inasema kama umezidishiwa mshahara na unajua kuwa si hakinyako, ukala you are in hot soup.
 
Kwa hio unatushauri tuirudishe au tuitumie taratibu tukijua kuwa mwezi ujao hakuna kitu
 
Kwa hio unatushauri tuirudishe au tuitumie taratibu tukijua kuwa mwezi ujao hakuna kitu

Wewe mwenyewe unajua rohoni mwako kuwa siyo pesa yako halali. Hujaifanyia kazi hiyo pesa. It is money paid to you by mistake. Kwa mtu ambaye ni honest na anayeipenda nchi yake atapenda kumwuliza mwajiri wake kwa nini amewekewa mshahara mara mbili. Lakini kwa bongo sidhani ni nani atakayefanya hivyo. Watu choka mbaya na mtu akipata tuu nafasi ya kufisadi lazima afisadi.

Lakini nimeshashughudia watu waliwekewa ngororo (siku hizi wanaita boom) mara mbili kwenye account zao, term iliyofuata hawakuwekewa kitu na kwa stahili ya kibongo hawakupewa hata maelezo kwa nini hawakuwekewa pesa. So, kama wahusika wametambua kosa lao lazima wata-rectify mwezi ujao.
 

Ngoja nichanganye na akiri zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…