Mshahara wa PRSS 2

Mshahara wa PRSS 2

Milioni 3
Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula

Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui
 
Milioni 3
Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula

Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui

Hahahaha
 
teh teh nilisha anza kuzimia apa
Hata hivyo naamini itakutosha kukuletea chakula mezani.

Au kama vipi siku ukipata mshahara njoo utuambie na wengine tujue hiyo code ni mshahara shilingi ngapi.
 
Yaan siku unaweza kuianza kwa furaha na ukaimaliza kwa furaha, au huzuni- furaha au huzuni-huzuni yote hayo humu yapo
 
Back
Top Bottom